Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa mikimbio, kufanyia mzaha jina la joyce wakahasau nao wanamchezaji anaitwa jeni.
Upande wa lomalisa siwezi kusema mengi. Wengi tumeona uwezo wake, aliwa-prove wrong wachambuzi uchawara mapema sana. Jamaa ni fundi sana upande wa kutengeneza chance za magoli.
Kipindi hiki cha mashindano ya kimataifa amehusika kwenye magoli muhimu sana.
Kenedy musonda huyu ni mchezaji mwenye nidhamu sana. kaacha miguu yake itoe majibu ya thamani yake.
mpaka sasa kwenye shirikisho amehusika katika mabao 5
3 asisst.
2 goals.
Kama mchezaji anataka awe na thamani kubwa, inabidi aoneshe kiwango bora kwenye mashindano ya kimataifa.