Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Kwa matusi yale yaliyoporomoshwa jana na Wafuasi wa Yanga, ningemshauri Fei ajisajili Simba ili apate nafasi ya kuwashughulikia Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi kati yao.
Fei keshafanya makubwa kwa Yanga na kwa muda mrefu lakini malawama na matusi aliyoyapata jana wakati yeye matatizo yake sio na club bali na uongozi juu ya maslahi inahuzunisha na ilistahili Fei apate nafasi popote awaadabishe na kuwapa uchungu hawa watu wasio na shukrani.
Nafasi hiyo ataipata akiwa Simba tuu na dirisha dogo halijafungwa.