Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Inasikitisha sana! Kiukweli nauona mwisho wa kijana huyu, kwa kweli ni majonzi.
Nakumbuka kuna kijana aliitwa Singano, na aliitwa Messi pia, lakini baada ya kupata umaarufu akalewa na akajakuwa kama Fei toto, lakini baada ya muda mfupi hajulikani alipo.