Librarian 105 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 261 Reaction score 356 Jun 1, 2023 #21 Ni vema upande wa pili pia utoke chimbo kupinga madai haya au kutoa ukweli wao. Ili tuweke mzani wa haki na usawa
Ni vema upande wa pili pia utoke chimbo kupinga madai haya au kutoa ukweli wao. Ili tuweke mzani wa haki na usawa
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Jun 1, 2023 #22 Pain killer said: Aisee aibu nimeona mim walahi ... Fei anasema hadaharan hajui kiingereza hata kwa rasi Simba hapajui kweli [emoji23][emoji23] Click to expand... Ni afadhali kusema ukweli wake kuliko kudanganya.
Pain killer said: Aisee aibu nimeona mim walahi ... Fei anasema hadaharan hajui kiingereza hata kwa rasi Simba hapajui kweli [emoji23][emoji23] Click to expand... Ni afadhali kusema ukweli wake kuliko kudanganya.