Fei Toto wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Tunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.

SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?
 
Historia inaasema.

Hakunaz mcHezaji akiyetoka YANGA SC akaenda kuperfom vizuri zaidi akiwa Azam FC.

Chirwa
Ngoma
Domayo
Ngassa

Ni miongoni mwao!
 
Historia ipo ili ivunjwe
 
Mpaka awe na match fitness kwanza, mengine yote yatafuata.
 
HAKUNA mchezaji Nchi hii akatoka vilabu vya Simba na Yanga akawa bora... Simba na Yanga fans base yao inaweza kumbrand mchezaji hata kama ni wakawaida akawa bora.!!.
*Ngasa -Azam
*Ramadhan singano-Azam
*ajibu-Azam
*Chirwa-Azam!!!,
Huko ameenda kumalizia mpira tu..hebu fuatilia wachezaji wote waliotoka Azam kwenda yanga au Simba.
 
Tunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.

SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?
yote yanawezekana ila nahisi yule wa azam anaweza chemka
 
Tunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.

SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?
Muda mwalim.mzuro sana tujipe muda
 
Back
Top Bottom