Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
hakuna huyo anekwishaTunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.
SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?
Historia ipo ili ivunjweHistoria inaasema.
Hakunaz mcHezaji akiyetoka YANGA SC akaenda kuperfom vizuri zaidi akiwa Azam FC.
Chirwa
Ngoma
Domayo
Ngassa
Ni miongoni mwao!
Historia inaasema.
Hakunaz mcHezaji akiyetoka YANGA SC akaenda kuperfom vizuri zaidi akiwa Azam FC.
Chirwa
Ngoma
Domayo
Ngassa
Ni miongoni mwao!
yote yanawezekana ila nahisi yule wa azam anaweza chemkaTunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.
SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?
Muda mwalim.mzuro sana tujipe mudaTunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa.
SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya yule wa Yanga?