Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nna uhakika Feisal anakwenda kuipata hiyo hela, na kama atafanikiwa kwenda CAS kulalamika na akashinda rufaa yake, am sure watanzania wanakwenda kupoteza imani na chombo hicho cha soka.
Karia amefanya makubwa TFF lkn wajumbe wamemwangusha, hoja yao ilikuwa Feisal hana hela ya kwenda CAS na hakuna wa kumsaidia, sasa Feisal kaanzisha michango ili akadai haki yake, kila la heri kijana, mm naahidi kuchangia pia