Feisal akishinda kesi CAS dhidi ya Yanga, TFF itakuwa imepoteza heshima yake na watu hawataiamini tena

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nna uhakika Feisal anakwenda kuipata hiyo hela, na kama atafanikiwa kwenda CAS kulalamika na akashinda rufaa yake, am sure watanzania wanakwenda kupoteza imani na chombo hicho cha soka.

Karia amefanya makubwa TFF lkn wajumbe wamemwangusha, hoja yao ilikuwa Feisal hana hela ya kwenda CAS na hakuna wa kumsaidia, sasa Feisal kaanzisha michango ili akadai haki yake, kila la heri kijana, mm naahidi kuchangia pia
 
Wapi kumeansikwa TFF wameona Feisal hana hela
 
Feisali hana uwezo wowote wa kuishi nda yanga ....

Kiufupi fei kayakanyaga ,atajuta maisha yake yote ....

Na Hao wanaompa kichwa wote watamkimbia ,....

Mwisho wa siku ataishia kula sembe ..

Hii dunia Haina huruma ,fei ni swala la muda tu ,atalia na kusaga meno ...
 
Wewe na huyo Fei wako, wote ni hamnazo.
 
Mpira wa miguu una njia zake za kuamua mambo yake, Na hizo njia ndio zinaufanya mchezo huu kujitofautisha na Michezo mingine.. Walichoamua TFF ndicho wataamua CAF na ndicho wataamua FIFA. CAS wanapitia tu kilichoamuliwa na izo taasisi nilizozitaja kuona kama sheria zilifuatwa au hazikufuatwa
 
Statement ya kichawi kabisa hii.
 
Ndugu usichokijua CAS wanaenda fanya reviews za maamuzi ya mashauri walizotoa TFF na ukumu zitarudi vile vile bila kubadilika jiandaeni Tena kumchangia pesa za faini ya gharama za kuendesha kesi kwa kushindwa kesi muda utaongea comment yangu tunza
 
Angekuwa mtu wa bara sawa lakini mpemba...hawa watu wanaushirikiano..hiyo hela ya CAS mpaka diaspora wapemba uingereza wanachanga
 
Ndugu usichokijua CAS wanaenda fanya reviews za maamuzi ya mashauri walizotoa TFF na ukumu zitarudi vile vile bila kubadilika jiandaeni Tena kumchangia pesa za faini ya gharama za kuendesha kesi kwa kushindwa kesi muda utaongea comment yangu tunza
Kwahiyo maamuzi ya kumlazimisha mcheza kuchezea timu asiyoihitaji yako sawa?? Je fifa inasemaje kuhusu mkataba??mkataba wa mpira wowote ule haumfungi mchezaji kuvunja japo kutakuwa na consequence...kwani msuva kesi yake ilikuwaje na mbona alitoboa
 
hivi kwenye hiyo kesi fei anashindaje?
 
Hii kesi sasa ni Feisal vs TFF, Shirikisho la wahuni linaloongoza mpira wetu.
 
Kwahiyo maamuzi ya kumlazimisha mcheza kuchezea timu asiyoihitaji yako sawa?? Je fifa inasemaje kuhusu mkataba??mkataba wa mpira wowote ule haumfungi mchezaji kuvunja japo kutakuwa na consequence...kwani msuva kesi yake ilikuwaje na mbona alitoboa
Msuva kesi yake nyeupe ajatimiziwa matakwa ya mkataba wake fei je ajatimiziwa Nini kwenye mkataba wake? .sina aja ya kukujibu masuala ya fifa uko mbali sana
 
Msuva kesi yake nyeupe ajatimiziwa matakwa ya mkataba wake fei je ajatimiziwa Nini kwenye mkataba wake? .sina aja ya kukujibu masuala ya fifa uko mbali sana
Sawa lakini sio kulazimisha kurudi yanga anachopaswa ni kulipa fidia
 
ongelea na upande wa pili, akishindwa je?
 
Sawa lakini sio kulazimisha kurudi yanga anachopaswa ni kulipa fidia
Hilo Sasa anapaswa kuandika barua kwa mwajiri wake aombe kuvunja mkataba watampa utaratibu. Hila aache kuleta vigezo visivyoonekana visivyo na ushaidi analalama anateswa, anakula ugali sukali, ushaidi uko wapi sidhani kama akiombwa kuthibitisha kama ataweza kwa kigezo hiko ndio mana Kila shauri lonaposikilozwa anashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…