Feisal alimkimbia Aziz Ki, Aziz ki anamkimbia Chama

Feisal alimkimbia Aziz Ki, Aziz ki anamkimbia Chama

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona akimbie kuepusha shari,
Sasa Aziz ki anaogopa kufunikwa na kivuli cha Chama, asije tena kuonekana wa kawaida ameamua kukimbia

1720542550866.jpeg
Pia soma:Viongozi wa Yanga mwacheni Azizi Ki aende tu
 
Utopwinyo kazi mnayo
Nilishawai kusema mbumbumbu kuwaongoza ni rahisi sana Tena mangungu alishaona aina ya watu anaowaongoza awawezi kumbabaisha ata kidogo Kama akili zenyewe ndio hizi, Mo kashindwa kusajili mchezaji wa maana ata mmoja kaenda kukusanya wachezaji wa mafungu wa Bei chee waliomaliza mikataba ama waliokuwa kwenye timu za chini uko kwenye ligi zao aje atoe pesa ya kumsajili Azizi ki? Kamshindwa Feisal tu uyo apo anayetaka b.1.3 aje amuweze Azizi ki? Kafatilie wachezaji waliosajiliwa Simba thamani yao alafu ndio urudi hapa!
 
Hizi akili naamini tunazo sisi tu dunia nzima.
 
Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona akimbie kuepusha shari,
Sasa Aziz ki anaogopa kufunikwa na kivuli cha Chama, asije tena kuonekana wa kawaida ameamua kukimbia

Pia soma:Viongozi wa Yanga mwacheni Azizi Ki aende tu
Mbona Aziz ameripoti leo Avic town?

Mods futeni hii takataka tupa kwenye trash.

🚽🚽
 
Back
Top Bottom