Feisal Salum Abdala aka fei toto vs Yanga

Feisal Salum Abdala aka fei toto vs Yanga

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal kwamba ningekuwa ndo Mimi yeye ningeitisha press conference nikaonba msamaha nikarudi yanga Ila Sasa ambacho ningewafanyia wangeniruhusu niondoke bure wao wenyewe.

Kwanza ningejitungua bao moja matata dhidi ya golikipa wangu then hyo mechi ingekuwa ya robo final Azam federation. Nikaja mechi ya ligi kuu halaf nalud shirikisho Africa najitungua Tena dakika za mwisho halafu baada ya hapo wakishindwa kunipanga ndo mwanzo wa kuvunja mkataba
 
Asipopangwa ndo inakuwa sababu ya kuvunja mkataba???
Kocha hupanga kikosi kutokana na mazoezi. Hivyo atalazimika kushiriki mazoezi ya wiki mpaka mbili Ili aingie kikosini. Na akijifungisha Kwa makusudi sio kwamba atatolewa Kwa mkopo ila atasugua benchi mpaka mkataba uishe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal kwamba ningekuwa ndo Mimi yeye ningeitisha press conference nikaonba msamaha nikalud yanga Ila Sasa ambacho ningewafanyia wangeniruhusu niondoke Bure wao wenyewe...
Hivi kwa akili yako unadhani hata akirudi yanga,atapangwa kucheza? Wewe unamjua Nabi?
 
Moderator, mjitahidi kuunganisha hizi nyuzi zinazomhusu huyu dogo. Maana karibia zote, zina maudhui yanayo fanana.
 
Back
Top Bottom