Asipopangwa ndo inakuwa sababu ya kuvunja mkataba???Kwa akili Yako unafikiri fei akirudi yanga saizi anapangwa kwenye mechi muhimu? Endelea kuota.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kocha hupanga kikosi kutokana na mazoezi. Hivyo atalazimika kushiriki mazoezi ya wiki mpaka mbili Ili aingie kikosini. Na akijifungisha Kwa makusudi sio kwamba atatolewa Kwa mkopo ila atasugua benchi mpaka mkataba uishe.Asipopangwa ndo inakuwa sababu ya kuvunja mkataba???
Hivi kwa akili yako unadhani hata akirudi yanga,atapangwa kucheza? Wewe unamjua Nabi?Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal kwamba ningekuwa ndo Mimi yeye ningeitisha press conference nikaonba msamaha nikalud yanga Ila Sasa ambacho ningewafanyia wangeniruhusu niondoke Bure wao wenyewe...
size namba gani?Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal
Sa kwanini mnamlazimisha kama hamtampa mechi muhimu?Kwa akili Yako unafikiri fei akirudi yanga saizi anapangwa kwenye mechi muhimu? Endelea kuota.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halazimishwi ila anatakiwa kutekeleza alichokisainiSa kwanini mnamlazimisha kama hamtampa mechi muhimu?
Kwa hyo alisaini kula ugali na mtibwa sugar?Halazimishwi ila anatakiwa kutekeleza alichokisaini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna ushahidi wa kuthibitisha madai hayo, otherwise mama alitumia kauli hiyo kugain sympathyKwa hyo alisaini kula ugali na mtibwa sugar?