sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake.
Msipanic sana wana Yanga wenzangu hii ni game ya akili.
Na pia sioni sababu ya Yanga kumumkomalia dogo ni ushamba tu wa Kiswahili unasumbua viongozi mwisho wa siku tunaweza tusipate chochote hela na huduma yake.