sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kamalizia kwa kuandika mikojo[emoji23][emoji23]Umeongea point ila umeharisha mwishoni!
Wamwachie dogo akatafute rizki.Umeongea point ila umeharisha mwishoni!
Soka letu kivyetuvyetu. Tukiamua kufata kila kitu kinyooke next week baada ya final one Yanga ilitakiwa iingie uwanjani ipige mechi ya ligi.Kama Leo Feisali anaweza kuamua tu kuvunja mkataba akalipa na akasepa, Kwanini na siku Moja Mfano Clotus Chama au Manula tena labda Karibu na mechi muhimu, wasiamue nao kulipa pesa na kuvunja mkataba wakaondoka?
Wanachosimamia Yanga sio Suala la utanzania au uzanzibari wa Feisali, Bali upuuzi wa Feisali utaharibu Michezo, ukikubalika (na haukubaliki) utaweka precedence mbaya sana huko mbeleni. Aache uhuni.
Kaanza vibaya kamaliza vizuriUmeongea point ila umeharisha mwishoni!
Unajua maana ya mkataba?Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake.
Msipanic sana wana Yanga wenzangu hii ni game ya akili.
Na pia sioni sababu ya Yanga kumumkomalia dogo ni ushamba tu wa Kiswahili unasumbua viongozi mwisho wa siku tunaweza tusipate chochote hela na huduma yake.
Angekuwa mkeo ungemuachia?Wamwachie dogo akatafute rizki.
Kashawalipa hela roho mbaya za nini?Unajua maana ya mkataba?
Na hatuitaki huduma yake. No yeye no problem.Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake.
Msipanic sana wana Yanga wenzangu hii ni game ya akili.
Na pia sioni sababu ya Yanga kumumkomalia dogo ni ushamba tu wa Kiswahili unasumbua viongozi mwisho wa siku tunaweza tusipate chochote hela na huduma yake.
Sasa waache kumuwekea nongwa.Na hatuitaki huduma yake. No yeye no problem.
Hata pesa hatuitaki. Ahame bure tu akwende zake paramagambakabudduuuukoreapakistani sana huyu