albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,198
- 2,562
kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1.
Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha.
Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu kuhusu Fei kitakuja kuwekwa wazi. Na kitaivuruga Yanga zaidi