Mtu ni mdogo kuliko club. Waende tukama tuliambiwa NABI atakuepo mpka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1.... Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha.
Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu kuhusu Fei kitakuja kuwekwa wazi. Na kitaivuruga Yanga zaidi
Wazee wakufoji, ila wachambuzi wao wa mchongo waimba mapambio wako kimyaaa.Dogo alisema walimuongezea mwaka mmoja kwenye mkataba
Ndo zao hao
mzoea vya kunyonga.....Dogo alisema walimuongezea mwaka mmoja kwenye mkataba
Ndo zao hao
Qwi qwi qwi qwi ona huyu utopoloPambania timu yako Kolo angalau upate kombe hata moja.
Mwaka wa pili huna kitu.
Unachokiweza kukifanyia parade Bunju to Kariakoo ni Kiatu cha mchongo cha Saidoo na umbea tu. Jitu zima limekaa linabwekabweka Feitoto, Feitoto, Feitoto, Feitoto anakulisha?
Kenge wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afande rama?
Wewe jamaa kama umefikisha miaka 25 niite mbwa Niko pale[emoji117]kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1.
Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha.
Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu kuhusu Fei kitakuja kuwekwa wazi. Na kitaivuruga Yanga zaidi
m mmmh!! kuna mtu alitwambia asilimia kubwa wa wana Yanga ni wepesi kichwani... hebu ona huyu alivyoandikaSasakamasisitulijuahayonanabiinjiniawetuniwamchongo