kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la
usajili la Januari.
Wekundu hao wa msimbazi wako tayari kutoa ofa ya dola
za Kimarekani 230,000 ili kuhakikisha wanampata nyota huyo.
Maamuzi sasa yapo mikononi mwa Azam FC na Feisal mwenyewe kuhusu hatima ya uhamisho huu wa hadhi ya juu.