kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
KwaniniMwanaspoti watasikitikana Sana wakisikia hiyo habari.
Lolote linawezekanaNi ngumu sana Azam kumuachia Feisal. Kumbuka Azam pia wanapromoti bidhaa zao kwa kumtumia yeye na bidhaa za Mo ni kama mshindani wao kibiashara.
Aisee! Umefikiria mbali Sana mkuuKila dirisha huyo dogo yuko mbioni atachoka sasa maana hata kama ni Marathon keshawaacha Simbu na Geay kwa kuwa mbioni kila siku
Sema kwa saut kuu anayeongoza ligi nani? Tamka jina kwa heshima kubwa..Makolo mtasumbuka sana mwaka huu
Huyu Feitoto ashakuwa kijeba, 32 bado wanataka kumsajiri?Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la
usajili la Januari.
Wekundu hao wa msimbazi wako tayari kutoa ofa ya dola
za Kimarekani 230,000 ili kuhakikisha wanampata nyota huyo.
Maamuzi sasa yapo mikononi mwa Azam FC na Feisal mwenyewe kuhusu hatima ya uhamisho huu wa hadhi ya juu.
Asisain aondoke bureNi ngumu sana Azam kumuachia Feisal. Kumbuka Azam pia wanapromoti bidhaa zao kwa kumtumia yeye na bidhaa za Mo ni kama mshindani wao kibiashara.
Kumbe mkataba unaisha?Asisain aondoke bure
Feisal ni mchezaji pekee kwa Sasa kila dirisha la usajili anasajiliwa na makolo ila baada ya usajili Kisha anacheza Azam.Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la
usajili la Januari.
Wekundu hao wa msimbazi wako tayari kutoa ofa ya dola
za Kimarekani 230,000 ili kuhakikisha wanampata nyota huyo.
Maamuzi sasa yapo mikononi mwa Azam FC na Feisal mwenyewe kuhusu hatima ya uhamisho huu wa hadhi ya juu.
Wameandika hawezi kuja Simba, nafikiri mwandishi aliweka hisia na ushabiki. Kati ya watu ambao huwezi kuwasemea ni wachezaji na wanasiasa muda wowote wanageuka.Kwanini
Hakuna mchezaji asiyeuzwaNi ngumu sana Azam kumuachia Feisal. Kumbuka Azam pia wanapromoti bidhaa zao kwa kumtumia yeye na bidhaa za Mo ni kama mshindani wao kibiashara.