Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku na kule kupata suluhu ya mkataba wake na timu ya wananchi (Yanga Sc).
Baada ya kulazimisha kuvunja mkataba na kutaka kutimukia azam (moja ya timu tajiri nchini Tanzania)
Iliyomuahidi mchezaji huyo nyota kupewa mshahara zaidi ya million 90 kila mwezi ambavyo kwenye timu yake ya awali (Yanga) alikuwa akilipwa million 5 kila mwezi. Kwa uwezo wa feisal salum Feitoto hii hela ni ndogo ambayo alikuwa akilipwa na timu yake ya Yanga.(Dar Young African).
Kwakuwa alifanya maamuzi mwenyew uenda kiwango chake kika kushuka maana bado muafaka haujapatikana kwenda Azam au kurudi Yanga.
Hili ndo soka LETU
#sokaLetu host Kimodomsafi