Feisal Salum yupo wapi hapa?

Feisal Salum yupo wapi hapa?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Hii picha ni ya jana na imenifanya kujiuliza Feisal ambae TFF wanatueleza ni mchezaji halali wa Yanga mbona hayumo?
Screenshot_20230514-144509.jpg


Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Yanga wenyewe wanajua kuwa dogo kawakataa to the point hataki kabisa kusikia kitu kinaitwa Yanga.
 
Awepo au asiwepo kwako unaathirika na nini?, Mnakata sio mchezaji wa Yanga wakati hup mnataka awe kwenye picha ya ubingwa?.
 
Back
Top Bottom