Feisal Salumu akishinda kesi Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhisi ya Masuala ya Michezo (CAS) Jopo la viongozi wa TFF wanapaswa kujiudhulu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ipo sababu kubwa mpaka Feisal kuamua kwenda "CAS" kuteketeza pesa zake za urojo lakini kaamua kwenda Tena kwa kujiamini kabisa (kifua mbele).

Endapo atashinda kesi huko "CAS" basi viongozi wa TFF mnapaswa kujiudhuru kwa maana mashabiki wa mpira tutakua tumepata picha kuwa Kuna maamuzi yanatolewa na TFF ni kandamizi kwa wachezaji wetu.

Nawasilisha hoja.
 
Na mie naunga mkono hoja
 
CAS hawaendeshwi kwa mihemuko. Mtu yoyote anaweza lia na kusema chochote.. mwisho wa siku wanarudi kwenye makaratasi
 
Kaka umegundua nini? Nahis kama kuna kitu/ taarifa unayo
 
Kwa hoja za kanitukania mama angu!? Thubutuuu.....
 
Na TFF wakishinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…