Feisal salumu utakapoitikia wito wa taifa stars utakua umevunja msimamo wako wakutokua mchezaji halali wa yanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo
Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri .

Hakuishia hapo feisali salumu aliamua kuishitaki yanga kwa mama yake mzazi namna gani alivyokuwa anateseka sana pale kambini mpaka kufikia hatua yakula ugali kwa kulumagia na sukari.

Ni mengi sana feisal kayasema kwa mama yake mzazi.
Mpaka Sasa Hana hamu na hataki kabisa kucheza wala kuiskia yanga.

Juzi mkeka wa wito kwenda kuichezea taifa stars umetoka na orodha ya majina imetoka kuwa feisal ni mchezaji wa yanga na anatokea yanga.

Sasa nakuuliza bwana mdogo utakwenda kama mchezaji wa yanga au utaendelea kushikilia msimamo wako kuwa huitaki yanga??
Na ukiitika wito maana yake umevunja msimamo wako kama ulivyoondoka kambini na kuikataa yanga.

Inabidi usimamie msimamo wako kuwa wewe siyo mchezaji wa yanga wakuite kwa jina la timu nyingine lakini siyo yaanga.


Mashabiki tutashangaa ukiitika wito wa taifa stars ukiwa kama mchezaji wa yanga.
 
Watu wengi wa Yanga hamna akili, bro sio lazma kila saa ufungue uzi
 
Kwani taifa stars na Yanga kulikoni
 
Watu wengi wa Yanga hamna akili, bro sio lazma kila saa ufungue uzi
Mwili tembo akili kisoda feisal kaitwa Kama mchezaji wa yanga na yeye yanga haitaki Sasa akienda takua anavunja msimamo wake.
 
Huu kweli unaweza kuwa mtego. Akienda anakuwa kweli ni kama amekiri yeye ni mchezaji wa Yanga ingawa haina madhara kisheria (kwanza hayo yalishapita, suala lililopo mbele ni yeye kuomba kuvunja mkataba). Mbaya zaidi kwake ni pale akikataa wito. Wanataka kuchafua zaidi image yake kwa kuonekana ni mtovu wa nidhamu kukataa kulitumikia taifa.

Hii ni fursa kwake kubaki fiti na kuchangamana na wenzake. Nadhani aende tu, mengine si masuala ya kisheria yanaendelea. Labda kama Yanga wana mpango wa kumteka au kumrushia majini 🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…