Hukumu ilishatoka kama hajapata haki yake aende cas, otherwise utakuwa mgeni kwenye mpira, maana yanga wako kwenye sheria ndo maana wanamtambua kama mchezaji wao, lakini watu kama nyie ndo mnaendelea kumpoteza. Bukayo Saka muda c mrefu atasaini mkataba mpya wa £300,000 kwa week, awali alikuwa analipwa £70,000 unadhani man city hawana hela ya kumpa saka akaiweka kwenye acc ya arsenal kisha akavunja mkataba?. Kwenye mambo ya sheria hakunaga huruma kwasababu ile ni biashara