Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Hivi gadiel Michael Yuko wapi? Vipi Ajibu...vipi Kakolanya..Fei bado kunavitu vimepungua, akitimia kabisa kila idara na akawa kiungo aliekamilika basi anatua Simba fasta.
Kwani beigani?,Simba si ndo taifa kubwa hapa nchini, nani anabisha?
Wote wapo Simba na wanacheza vizuri tu.Hivi gadiel Michael Yuko wapi? Vipi Ajibu...vipi Kakolanya..
Morrison anaendeleaje hapo?
SawaWote wapo Simba na wanacheza vizuri tu.
Simba inakikosi kipana sana pia sio lazima wote wacheze kwa wakati mmoja.
Fei akitengenezwa ni bonge la kiungo.Wachezaji wazuri mahali pao ni SIMBA,shule ya mpira wa kisiasa bongo.Usione vyura wa Jangwani wakijitutumua humu,kimoyomoyo wanakiri Mnyama anatisha.Fei Toto ajitahidi aende hata Simba
Hawa wote wanaingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza cha YangaHivi gadiel Michael Yuko wapi? Vipi Ajibu...vipi Kakolanya..
Morrison anaendeleaje hapo?
Dah noma sana. Sasa itakuajeFei toto
GOAL 4
ASSIS 3
Amehusika kwenye magoli 10.
BWARYA
GOAL- 1
ASSIST -0
amehusika kwenye magoli 0.5
Takwimu hazidanganyi