Feitoto na hattrick ya mapema zaidi dhidi ya Kitayose

Feitoto na hattrick ya mapema zaidi dhidi ya Kitayose

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mchezaji FEI TOTO wa Azam FC hii leo katumia kalamu yake ya miguu kuandika rekodi yake ya msimu ambayo inaweza kudumu kwa misimu kadhaa mbele.

Goli la kwanza lilikuwa dakika ya 3' la pili dakika 5' likifungwa na Prince Dube kisha FEI akarudi tena dakika ya 9' na akahitimisha dakika 13' kabla ya mchezo kuvunjwa kikanuni baada ya kubaki na wachezaji 6 baada ya wawili (2) kuumia.

0c4eb3d47cf647d18e8759adc7b623a8_367436790_807476158044926_3440891806445693505_n.jpg
 
Kichwa kikuuubwa. Hat trick gani dhidi ya wachezaji 8?
 
Kitayose walipanga matokeo kwenye championship. Ilitakiwa washuke daraja. Lakini TIfuatifua wakaipandisha hadi premiere league, na kuidhulumu Pamba. Malipo ni hapa hapa.
 
Back
Top Bottom