Mchezaji FEI TOTO wa Azam FC hii leo katumia kalamu yake ya miguu kuandika rekodi yake ya msimu ambayo inaweza kudumu kwa misimu kadhaa mbele.
Goli la kwanza lilikuwa dakika ya 3' la pili dakika 5' likifungwa na Prince Dube kisha FEI akarudi tena dakika ya 9' na akahitimisha dakika 13' kabla ya mchezo kuvunjwa kikanuni baada ya kubaki na wachezaji 6 baada ya wawili (2) kuumia.
Kitayose walipanga matokeo kwenye championship. Ilitakiwa washuke daraja. Lakini TIfuatifua wakaipandisha hadi premiere league, na kuidhulumu Pamba. Malipo ni hapa hapa.