sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nilidhani adhabu huanza kutekelezwa pindi zitolewapo,Wanasubiri mechi ya simba na yanga ipite kwanza c unajua siasa za mpira wa bongo!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
hawajafungiwaSiku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi.
Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi.
Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani.
Adhabu ipo ?
Mshamba ni weweIla tuweke ushabiki pembeni, kitendo walichofanya hawa wachezaji wanatakiwa adhabu kali sana maana wanaharibu brand kubwa inayojengwa ya league yetu kwa vitendo vya kishamba niseme.
Yaani wewe hata sijui umefikaje humu Jamii forum, wapi nimesema tuwe kama ulaya? mazingira gani unayotaka kusema hapa, kama nyinyi wataalamu wa haya mazingira tunashindwa nini kuchukua makombe yote. Nadhani Sumbawanga huko na Pemba wangekuwa na team zinachukuwa ubingwa tu maana mazingira yanawaruhusu. Mjinga mkubwa nenda katufute forum za wachawi sio hapa.Mshamba ni wewe
Kila kitu na mazingira yake
We unataka kila kitu kiende kama ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sehemu gani umeona kuwa wamepewa adhabu? Embu lete taarifa ya TFF au bodi ya ligi ikitoa adhabu kwa hao wachezaji.Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi.
Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi.
Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani.
Adhabu ipo ?
Ndio inavyokuwa ila kwa simba na yanga ni tofauti wana package yao maalum ya adhabuNilidhani adhabu huanza kutekelezwa pindi zitolewapo,
Kwani kulikuwa kuna kitendo gani kibaya kwa hao wachezaji? Mimi niliona wote wawili walisimama tu kwenye mstari wa uwanja wakati wachezaji wengine wakiendelea kusalimiana.Ila tuweke ushabiki pembeni, kitendo walichofanya hawa wachezaji wanatakiwa adhabu kali sana maana wanaharibu brand kubwa inayojengwa ya league yetu kwa vitendo vya kishamba niseme.
Kuna ile timu ilitembea na basi kinyumenyume kilometa 50 kwenye mechi na Raja ikaishia kugongwa 3 haikuadhibiwa wao hawaharibu brand ya mpira.Ila tuweke ushabiki pembeni, kitendo walichofanya hawa wachezaji wanatakiwa adhabu kali sana maana wanaharibu brand kubwa inayojengwa ya league yetu kwa vitendo vya kishamba niseme.
Fei hawezi fungiwa yule ni mtoto wa mamaWanasubiri Mechi na Simba ipite .
Mudathiri ni mchezaji tegemeo kwa yanga.
SOKA LETU KIVYETU VYETU.
NuktaWanasubiri mechi ya simba na yanga ipite kwanza c unajua siasa za mpira wa bongo!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app