'Feitoto' punguza huna thamani ya Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania kwa Timu inayokutaka sawa?

'Feitoto' punguza huna thamani ya Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania kwa Timu inayokutaka sawa?

ange kuwa anajua wa bongo wangempa promo hata south hapo akipige.

ila azam wamekurupuka kumpa hela next season wanampiga bench. maana hana hiyo quality. siku kaondoka yanga ndo midfield ime improve.

sure boy Is 10x Feisal quality.
shameful kocha wa taifa anamlinda sana.
 
ange kuwa anajua wa bongo wangempa promo hata south hapo akipige.

ila azam wamekurupuka kumpa hela next season wanampiga bench. maana hana hiyo quality. siku kaondoka yanga ndo midfield ime improve.

sure boy Is 10x Feisal quality.
shameful kocha wa taifa a
Labda ukweli wa kichuki za kishabiki za kiyanga yanga. Sure boy ana takwimu gani ya kumfanya awe bora mara kumi ya Feisali? Embu weka hizo takwimu za Sure boywewe ni hater sure boy haingii hata mara mbili Kwa fei.
Bora hata ungemsema mdadhir ungeeleweka
 
Back
Top Bottom