'Feitoto' punguza huna thamani ya Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania kwa Timu inayokutaka sawa?

ange kuwa anajua wa bongo wangempa promo hata south hapo akipige.

ila azam wamekurupuka kumpa hela next season wanampiga bench. maana hana hiyo quality. siku kaondoka yanga ndo midfield ime improve.

sure boy Is 10x Feisal quality.
shameful kocha wa taifa anamlinda sana.
 
Bora hata ungemsema mdadhir ungeeleweka
 
Labda ukweli wa kichuki za kishabiki za kiyanga yanga. Sure boy ana takwimu gani ya kumfanya awe bora mara kumi ya Feisali? Embu weka hizo takwimu za Sure boy.
sure boy ni better than Fei. sure boy ni umri tu ila bonge moja ya mchezaji. Fei at his age awezi toboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…