Fela Kuti

Fela alitakiwa kupeleka jeneza la mama yake Dodan kwenye himaya ya Generali Olesegun Obasanjo



na alitakiwa kuandika nyimbo mbili "Coffin for Head of State" na "Unknown Soldier" ikimaanisha kuwa mashambulio yalifanywa na askari asiyejulikana.



Alitakiwa na nani kupeleka jeneza?
Na huyo mama yake alifariki lini?
Alitakiwa na nani kundika nyimbo ?
Je, hizo nyimbo zitakiwa ziandikwe wapi ? Na ziliandikwa?

 
Hapa nilichokiana ni jamaa linaoa wake weng
 
Coffin to the head of state
Water don't get an enemy
Authority stealing
Opposite people
Lady
Gentleman
Ogba mi yoh
Nakadhalika nakadhalika... Huyu jamaa hakuwa binadamu wa kawaida!
 
Ahsante mkuu kwa uchambuzi wako nzuri... Huyu ndio alikuwa gwiji haswa na mpiga saxophone barani africa fella anikulapo kuti na alikuwa akikinza sana wakati huo miaka ya 90 na serikali Nigerian, mungu amlaze mahala pema peponi fella anikulapo kuti Ameen.
 
fela alikufa kwa ngoma, hakuwahi kuamini kabisa kuwa kuna AIDS. last minute akatunga wimbo unaitwa ALONE AND frightened
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…