Felipe de Santos wa Singida united!.

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,643
Akiwa na mdau mkuu!.
Amesajiliwa na Singida United kutoka Brazil
Sina imani kama kuna kitu atafanya maana hiyo physical appearance tu utadhan delicious wa Insta
 
Yaaani Hawa mashabiki wa ndala FC watatuharibia timu yetu ya singida United!

Huyu wampeleke kule dampo alikoenda ngasa!
 
Yaaani Hawa mashabiki wa ndala FC watatuharibia timu yetu ya singida United!

Huyu wampeleke kule dampo alikoenda ngasa!
Una umri gan mbona una akili za hovyo hovyo au umelewa?
 
Huyu itakuwa wamejiokotea tu kwenye mabanda ya Play stations na kamari
 
kwan kiwango kinapimwa na appearance ya mtu...si mngoje ligi ianze...kwan nyie ni mamaridadi kuliko waziri aliyepiga naye picha...
Ndo shida ya mijianaume ya dar hii...
 
Yale Yale ya kina Jaja, kaletwa muuza Matikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…