Felix Sunzu kujichubua uso anatufundisha nini watoto wetu wanaokimbilia mpira wa miguu!!

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Sikatai kila mtu ana haki ya kuamua kitu lakini nimekuwa nikijiuliza kaka yetu sunzu ataacha lini kujichubua na hili linamfanya hata alipoumia kwa kweli upande wa kushoto ukiangalia namkumbuka dada yengu mmoja pale sinza mori alivyojichubua dawa ikamgonga kawa wa kijani nusu uso.

So naamini walio karibu watampa mwelekeo hasa kipindi hiki cha joto dawa zinaweza kumharibu na tukampoteza mchezaji wetu mahiri.
 

Yeye ni mtu mzima, anajua anachofanya! Wale wote wanaoiga mambo mabaya kutoka kwa watu wengine hao ni masikini wa kufikiri!
 
Mtu mzima awezakuwa hovyo bado. Kama Mungu kakuumba mweusi au weupe nini mantiki ya kumkosoa?Huenda ana ugonjwa ambao huwafanya baadhi ya wanaume kuwa na hisia za kike hukuna baadhi ya wanawake kuwa na hisia za kiume. Tunao tomboys wengi tu dunianiukiachia mbali homosexuals japo sitaki kufanya hitimisho kati ya haya. Kila palipo na tomboys sharti wawepo tomgirls.

 
Kwa Wanaume,Wanaojichubua,Wanaosuka(Isipokuwa wale Rasta),Wanaovaa Hereni,Tamaa za Pesa kirahisi bila kufanya kazi,bila shaka
1.Walishawahi kuwa MASHOGA au Ndio Wanauanza
2.Maisha yao huwa mafupi sana
3.Wanamuwasho fulani hv Sehemu za nyuma
4.Watakuja KUGEUZWA.
 
Kwa hiyo unamaanisha hata Ndugu Mgombea Ubunge a.k.a Mungiki anahusika hapo??
 
kama umeshindwa kufundisha watoto wako maadili nyumbani usitegemee kufundishwa na mtu mwingine........

kama umewalea vyema watoto home, wala hawatahangaika na mikorogo na tabia zote za kifedhuli watakazozion....
 

Tuwekee tumwone.....
 
kama umeshindwa kumfundisha mwanao kwako nyumbani atafunzwa na ulimwengu.
 

kah.......!!!!!
 
Alishawahi kukaa Lubumbashi DRC so inawezeka aliiga hayo mambo huko(maana wazambia hawana hiyo tabia).Kule ni kawaida tu wanaume kujichubua. God forbid Samatta asiingie kwenye tabia hii
 
Watoto walishaanza kuharibika hata kabla ya ujio wa Sunzu, wapo wengi tu ambao walianza kuvaa heleni (siwataji),...................FS asiwe mbuzi wa kafara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…