Felix Tshisekedi kazi anayo 2023

Felix Tshisekedi kazi anayo 2023

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hivi chama tawala cha felix tshisekedi kinajisikiaje pale wanapo ona nchi zote zenye nguvu wakimuunga mkono Moise Katumbi.

Hapa ni picha ya ambassada wa Belgium, USA, China, Ufaransa na Israel wakiwa nyumbani kwa katumbi
Kazi anayo

FB_IMG_1674839610782.jpg
FB_IMG_1674839606544.jpg
FB_IMG_1674839599490.jpg
 
Hujui siasa kumbuka kilicho tokea uchaguzi wa Kenya 2022.
 
Hao si wapiga kura. Waamuzi ni wananchi wa Congo. Hao wanamuunga mtu wa damu yao. Katumbi ana damu ya wazungu. Wacongo watampigia kura mtu wa damu yao
Katumbi ndiye anaye pendwa zaidi kuliko felix ila hawa watasaidia katumbi asiibiwe kura zake
 
Kwenye Maslahi yao lazima utawaona China wakishirikiana na Marekani
 
Mmaaa!!!! kama mjomba yake amemtembelea basi mfumo wa tume utakua taaban kuchakata ya Felix utaslow naadd Moise Katumbi mwana wa Katanga , hongera Mh Moise Katumbi Rais ajae wa DRC
 
Hapo ni suala la mda tu, felix ni nusu kibaraka wakati moise ni kibaraka kamili. Hakuna mwenye uchungu na wakongoman hata aliyetoka madarakani.

Kongo safari yake ni ndefu sana mpaka wafike kwenye political stability.
 
Felix sio smart wala very powerful kwahiyo hana chance within DRC na nje. Katumbi ni smart, ana nguvu na kibaraka wa hali ya juu kuliko Felix.

Wote hao wana madhaifu ila bora Congo ibaki na Felix kuliko aje Katumbi. Na kuvunjika kwa Congo ni rahisi endapo Katumbi atataka hivyo
 
Back
Top Bottom