Félix Tshisekedi

Utakuwa mtu wa ajabu sana kufikiria ushindi while geographcal factor favours Tz,apart from M23 issue and Monusco

Geographical factor mnaimba kila siku lakini bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia mataifa ambayo hahtupo nayo kwenye mpaka, mataifa ambayo mlifaa kuhodhi lakini kwa mlivyo wazembe yaani mpo mpo tu.
 
give me examples boss!!!
 
Geographical factor mnaimba kila siku lakini bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia mataifa ambayo hahtupo nayo kwenye mpaka, mataifa ambayo mlifaa kuhodhi lakini kwa mlivyo wazembe yaani mpo mpo tu.
Tumia googgle upate mombasa vs dar utapa haibu
 
My friend you are far back.!!!!??
ever heard of US conflict minerais law?????

Brother Rwanda is one among The largest supplier of coltan,tantalum,tin,tungsten,gold in Africa and hopefully u know they're exploiting it from Congo.

So what's the big deal bout the thing called 'US conflict minerals law

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
unakumbuka madini 2 trucks toka rwanda yalikwama for 3 months uganda ,sababu ni hiyo (tracebility)
 
Rwanda don't give a damn bout it,so long they got what they want.

Sent from my iPhone using JamiiForums
mambo yana badilika uvamizi uliofanywa na Uganda and Rwanda tayari DRC imeshinda kesi against uganda in international court of justice,Uganda inatakiwa ilipe up to 10 billions usd to DRC
 
Tanzania inapendwa saana congo na sadc yote bt uzembe wa viongozi watz kutoitumia hiyo nafasi kibiashara ndio ilikuwa kikwazo lkn magu ameligundua hilo

Alafu inaonekana kama vile jiwe yupo beneti saana na dstv
Utakuwa mtu wa ajabu sana kufikiria ushindi while geographcal factor favours Tz,apart from M23 issue and Monusco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…