Félix Tshisekedi

ah ah Bro that is not fair to call our leader ni fool !! and who told you that Mr.President he doesn't love Kenya ? unajua kama Raila ni best friend wake kitambo !!!
But kusema ukweli nikama anaforce Tanzanians watuchukie there things you dont do as a leader hakuna hata siku moja unye ameongelea about huyo msee ama kutusi Tz ama kuchoma kuku zenu etc,thats how an intelligent leader shud act
 
Nothing else than business I guess security matter was not on table for discussion,... Mombasa port was the agenda and I look forward to see him in TZ near future to come bcoz businessmen from congo prefer to use dsm port
 
But kusema ukweli nikama anaforce Tanzanians watuchukie there things you dont do as a leader hakuna hata siku moja unye ameongelea about huyo msee ama kutusi Tz ama kuchoma kuku zenu etc,thats how an intelligent leader shud act


trade war is every where brother na hii kitu haikuanzia kwa regime ya magufuli na uhuru pekee yake... before JK hajaondoka madarakani hapa TZ Kenya mli zuia magari ya TZ yasiingie ktk maeneo ya vivutio vya utalii kule Kenya then TZ waka piga restriction kwa ndege za Kenya sijui walipiga restriction gani nimesahau kidogo.. later on Kenya wakazuia Unga toka Tz usiingie Kenya nakumbuka ule unga ulikuwa unasafirishwa kwenda somali kama sijakosea then ndio ikaibuka issues ya maziwa na kuku zenu mara ikaja issue za mifugooo therefore hamna kitu kinachoitwa chuki ndidi ya KE, hawa viongozi wapo leo kesho wanaondoka ila KE na TZ wataziacha who knows may be one day in future tutakuwa nchi moja as we move on na political federation ..... japo kenya kidogo last years mlitaka kutu sideline ndani ya EAC 😀😀😀😀😀 (joking) unakumbuka ile collision of willingness ? that was outcast attempt
 
Hahaha ni nyinyi muli ji sideline haha.lakini hapo kwa Tz kuwa nchi moja na kenya tricky coz kenyans hawawezi kubali na pia most Tzanians pia hawawezi dai
 
yaani unalingia kwenda burundi through tz
1.Distance issue
2. Road toll issue :i.e a custumer has to pay double road toll
Mimi naona mna advantage on Uganda only

Advantage tunayo kwa Uganda, Sudan Kusini na Tanzania Kaskazini, lakini tumeingiza pua DRC, Rwanda na Burundi n.k. Hizo ni nchi ambazo hatupo nao kwenye mpaka mmoja. Bandari yetu imefunika ya kwenu balaa, soma takwimu utapata majibu.
 
Tanzania inapendwa saana congo na sadc yote bt uzembe wa viongozi watz kutoitumia hiyo nafasi kibiashara ndio ilikuwa kikwazo lkn magu ameligundua hilo

Alafu inaonekana kama vile jiwe yupo beneti saana na dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajue tu Tanzania ndio supplier wa dawa pharmaceuticals sadc nzima, the only one default supplier
 
Hujui chochote kuhusu Tanzania na sadc
 
Binadamu wana roho mbaya sana, yaani kiongozi yeyote anayechagua AMANI wanamuita “KIBARAKA” yaani mlitaka mapigano na fujo DRC ziendelee?! Kudos Tshekedi.

Amani haijengwi kwa kuwa kibaraka, that can never happen, Amani ina misingi yake, maingi mkuu imara ni HAKI,
nothing less than that.. kama hakuna haki hiyo amani ni bomu linalipuka muda wowote.
 
Sasa mbona hawawapi msaada muda huu magaidi wanasumbua sasa

Hivi unajua kuwa Ethiopia ni nchi yenye uchumi mfuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
South wameitumia giants lini Tanzania?

Hivi unajua kuwa Tanzania ndio msambazaji mkuu wa dawa nchi za sadc ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But kusema ukweli nikama anaforce Tanzanians watuchukie there things you dont do as a leader hakuna hata siku moja unye ameongelea about huyo msee ama kutusi Tz ama kuchoma kuku zenu etc,thats how an intelligent leader shud act
nakuunga mkono, mabishano ya chuki hatutaki hasa kusingizia vitu viongozi wetu without evidence, habari za ugaidi siyo za kuchekana this can happen anywhere
 
Sasa mbona hawawapi msaada muda huu magaidi wanasumbua sasa

Hivi unajua kuwa Ethiopia ni nchi yenye uchumi mfuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akikupea usaidzi si lazma aonyeshe n plus kenya haikushindwa so ka tungesema tumeahindwa ndo wangekam but kila kitu ilikuwa undercontrol na pia imagine wakenya kuona hapo jeshi ya Ethiopia hainhekuwa picha poa,n btw uchumi si kitu wako almost 190M n wenge wanaumia n wengi wanakimbilia kenya the north eastern part
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…