Félix Tshisekedi

nakuunga mkono, mabishano ya chuki hatutaki hasa kusingizia vitu viongozi wetu without evidence, habari za ugaidi siyo za kuchekana this can happen anywhere
Thnx kwa kufunguka macho yaani ana taka TZ watuchukie mbaya sana na kitu kama ugaidi si kitu ya kucheka juu it can happen anywhere in the world n plus hao watu wote wenye walikufa walikuwa na family wengine walikuwa baba na mama sasa imagine mtoto amekuwa orphan hapo hakuna kitu ya kucheka aki,kuna pahali haufai kuleta jokes kitu ka ugaidi mtu huwa aleti mchezo
 
Kiufupi mission ya kdf Somalia imeshindwa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…