"Female Circumcision"among the Kikuyu

Tafadhali, anaejua ni asilimia ngapi ya wanawake wa ki-kikuyu waliokeketwa kwa miaka ya hivi karibuni, atuambie
 
Anayemuelewa mleta mada atutafsirie maana ukeketaji upo sana mikoani kwao huko, na nitashangaa sana kama kuna mwanamke yeyote Mkikuyu amekeketwa ndani miaka mitano ya hivi majuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…