Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Hongera sana mkuu! Unatuwakilisha vyema, unayatandika kiswaswa haya ma agent ya shetani, kutetea ufemanisim ni kubeba agenda ya shetani kuangamiza ulimwengu. Leo vijana wakiume hawapati ajira pamoja na kua na elimu, mifumo ya sheria yote unamtetea mwanmke hatakam anamakosa. Endelea kuyatandika.
 
Kabisa kamanda. Jihadi hii haina mwisho vikosi bado vinasajiri askari wapya hii vita bado mbichi.

Hawa mamluki kama huyu Fundi Mchundo ndio changamoto ambazo funatakiwa kudili nazo wazi wazi. Hawa ndio wanafanya wanaume tuonekane tunasapoti mambo ya kipuuzi na kumbe hatuna time nayo.
 
Mara nyingi ukiona mtu anawasema sana mashoga basi ujue huyo nae ni shoga. Anakuwa mkali watu wasimstukie.

Umenitukana sana lakini kwa jinsi kingereza chako kilivyo kibovu badala ya kukasirika imebidi nicheke tu. This is Men space! Are f*cking with my intelligence u piece of wet wipe! Ungekuwa articulated!

Sheria ya kukataza sodomy ilitungwa Tanganyika 1945 na Zanzibar 1934. Bacon Rechenberg aliyekuwa gavana wa German East Afrika ilibidi ajitetee dhidi ya shutuma kuwa alikuwa anatembea na mfanyakazi wake wa kiume aliyekuwa anaitwa Max. Ilikuwa 1910 na wakati huo kulikuwa na madanguro Dar na Zanzibar ambako wanaume na wanawake walikuwa wanajiuza. Wote hao walifundishwa na feminists?

Kwa miaka nenda rudi kumekuwa na wanaume waliokuwa wanaolewa jela na kwenye shule za kulala la wavulana. Hao nao wamefundishwa na Feminists?
Kwa miaka kibao mashoga wamekuwa wakialikwa kwenye shughuli za ngoma Dar es Salaam ili kuwaburudisha wageni kwa kucheza kama chakacha. Zanzibar hoteli na kwa macheni kulikuwa na mashoga wakijiuza. Hao wote walifundishwa na Feminists?

Ushauri wangu kwako ni kuwa utoke tu ndani ya kabati na uishi kweli yako. Hakuna atakayekulaumu maana utakuwa ni uamuzi wako. Pili, jielimishe ili ujue na sio ili uje JF uonekane kuwa na wewe ni Great Thinker. Ukweli ni kuwa sifa hiyo hauna.

Amandla...
 
Mara nyingi ukiona mtu anawasema sana mashoga basi ujue huyo nae ni shoga. Anakuwa mkali watu wasimstukie.
Kama hiyo ni kweli basi hata watu wanaowaonea wivu matajiri na kuwapiga vita nao wangekuwa matajiri pia.
Umenitukana sana lakini kwa jinsi kingereza chako kilivyo kibovu badala ya kukasirika imebidi nicheke tu. This is Men space! Are f*cking with my intelligence u piece of wet wipe! Ungekuwa articulated!
Sijakutukana nikikutukana kila mtu atajua kuwa nakutukana.

Mamake tupewe mic hapa tufanye mdahalo kwa lugha ya malkia, kama hautatafuta taulo la kufuta jasho. English yangu sio ya kunipimia na kama unataka kunijua vema then nichallenge hapa kwa chochote then tutajua nani ana kiingereza kibovu, twat kabisa wewe.
Nimeshakueleza kule juu kuwa nimeshajua wewe sio levels zangu katika huu mjadala.

Kwa sasa hata ukileta facts nina sikia kichefu chefu kuendelea kujadiliana na mnafiki. Wewe sio kaliba ya kiume wewe ni sell out. Unatofauti gani na wale waafrika waliokuwa wanatetea wazungu kuwa ni watu wazuri enzi za ukoloni na ubaguzi kwa watu weusi?

I am not having this conversation with you unless unataka tubakie kujibizana kwa kukashifiana. Ila siwezi kukaa natengeneza hoja na msaliti wa jinsia. I feel sorry for your son's and daughters kama wapo na kama hawapo i pray for them kuwa na baba ambaye ni zao la usaliti na atawaletea mama atakae mtawala.

Brotherhood clan haiitaji watu wanafiki na dhaifu kama wewe ni sumu kwa watoto wetu wa kiume na ni tishio kwa watoto wetu wa kike. So if you don't mind nenda katafute ma'simp wenzako mkajadili namna za kuwasaidia feminist kushika hatamu tuachie hii kazi wanaume tunajua tunachokifanya.

Nendeni mkaendelee kujazwa feminine energy ambayo ndio unayoileta hapa kwangu and i really don't use that energy in anyway so take it somewhere else.

Just because umekuwa brainwashed unahisi you have the legitimacy ya kuja kunihoji au kudictate what i speak on, GTFOH men πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
Kwa miaka nenda rudi kumekuwa na wanaume waliokuwa wanaolewa jela na kwenye shule za kulala la wavulana. Hao nao wamefundishwa na Feminists?
Hapa unatanga tanga tu na hizi facts zako za kuokota okota. Mimi sitaweza kuengage hii discussion na mtu dhaifu kama wewe. Nenda kawatafute akina Jadda hao ndio wenzako mkatengeneze group discussion i am not making any conversation na simpish sellout wa jinsia kama wewe. To hell with u.
Kwa miaka kibao mashoga wamekuwa wakialikwa kwenye shughuli za ngoma Dar es Salaam ili kuwaburudisha wageni kwa kucheza kama chakacha. Zanzibar hoteli na kwa macheni kulikuwa na mashoga wakijiuza. Hao wote walifundishwa na Feminists?
I will not respond.
Ushauri wangu kwako ni kuwa utoke tu ndani ya kabati na uishi kweli yako. Hakuna atakayekulaumu maana utakuwa ni uamuzi wako. Pili, jielimishe ili ujue na sio ili uje JF uonekane kuwa na wewe ni Great Thinker. Ukweli ni kuwa sifa hiyo hauna
Ushauri wako sijaupokea na siwezi kupokea kwasababu wewe na mimi we don't share common interests kwenye jamii, go on and be a simp somewhere else. This conversation is over. Siwezi ku entertain majadiliano na wasaliti.
 
Wewe saa hii ujue ni adui wa wanaume na nitakubrand kundi moja na mafeminist,wewe ni Simp. Popote nitakapohitaji mfano wewe ndie utatumika.
 
Hii post yako mkuu yote naona kama unahamisha magoli, nyundo za Zemanda πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ zimesha kuelemea unatafuta pakutokea 🀣🀣. Ufeminisim ni balaa kubwa lililoikumba dunia acha ku push agenda za kishetani hizo.
 
Hii post yako mkuu yote naona kama unahamisha magoli, nyundo za Zemanda πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ zimesha kuelemea unatafuta pakutokea 🀣🀣. Ufemanisim ni balaa kubwa lililoikumba dunia acha ku push agenda za kishetani hizo.
Ufemanism ndio nini?

Amandla...
 
Uzi ufungwe πŸ‘πŸ‘πŸ‘ mimi ni mwanamke msomi, mpenda maendeleo ila naungana nawe kusema kuwa feminism ni mpango wa magharibi kudhoofisha jamii kutoka nchi zinazoendelea specifically za watu weusi. Hadi hapa nilipofikia, naelewa kuwa I have nothing to prove, I'd rather be a traditional wife. Sijaumbwa mimi kufanya kazi mpaka jasho la mwisho. Siwezi kubeba zege wala nini... Nitaendelea na kazi ila baba mjengo ataendelea kuwa breadwinner
 
Kwa hiyo unaamini kuwa "feminism " imeletwa na nchi za magharibi kuwafanya vijana wetu kuwa mashoga na wasagaji? Uamuzi wa kuwa "traditional wife " ni wako na unastahili kuheshimiwa kama ambavyo mwanamke anaeamua kuwa "feminist" anastahili kuheshimiwa. Tatizo linakuja pale watu wanapo conflate lesbianism na feminism kama njia ya kuwafunga midomo.

Amandla...
 
Hii thread isifungwe maana kuna haja ya kuelimishana kuhusu "feminism" na nafasi ya mwanamke katika jamii. Kwa muda mrefu mjadala umetawaliwa na misogynists na apologists wao. Wakiachiwa, sumu yao itaharibu jamii kuliko hata ya hao mnaowaita "feminists".

Amandla...
 
Hapana sijasema hivyo wala sijamaanisha hivyo pia..lakini naamini kuwa ni mpango wa Magharibi kudhoofisha jamii zetu. Kudhoofisha haimaanishi usagaji au ushoga ingawa vinaweza kuwa sehemu ya hayo. Nikisema traditional wife kwa maana kwa sasa hii ndio nafasi yangu kimaisha. Labda ningekuwa siko kwenye ndoa ningesema vinginevyo.
 
Just out of curiosity. Nchi za magharibi zinadhoofisha vipi jamii yetu na watapata faida gani jamii yetu ikidhoofika. Ninavyojua mimi traditional wife anakaa nyumbani kutunza na kuhudumia familia wakati traditional husband wajibu wake ni kugharamia hizo huduma zote. Mara nyingi inabidi traditional wife awe mama wa nyumbani wakati mume ndio mtafutaji. Na historically mchango wa traditional wife ulikuwa hauna thamani kama mchango wa traditional husband. Ndio maana mume akifa, traditional wife alikuwa ananyang'anywa kila siku kwa sababu mchango wake wa kulea na kutunza familia haukuwa na thamani. Sijui kama huyo ndio "traditional wife" unaemzungumzia na bila shaka ungependa binti yako awe hivyo. Awe na wajibu wa kuwapikia na kuwapakulia baba na kaka zake, kuondoa na kuosha vyombo watakaposhiba. Kuwafulia nguo zao na kuhakikisha nyumba iko safi. Na unawaambia watoto wako wa kiume kuwa hizo sio kazi zao, ni za dada na wake zao.

Na unafurahi, unaposikia mtu akisema " una akili za kike" hauwezi ku achieve lolote!

Just curious.

Amandla...
 
Thank you for your honesty. Wanawake wakiwa accountable kama wewe tutafika mbali kama jamii na utulivu kwenye mahusiano na familia vitarejea.
 
Uwe unaona aibu. Huyo ni mwanamke unabishana nae. Feminism inawahusu wao wewe mbona unatetea utadhani unalipwa?
 
Naona unataka kuwavuta kwa mafungu huko Dm. Unaleta ushujaa kambi ya jeshi. Tulia ukalishwe.
 
Hata usingehangaika kumjibu, huyo ni simp ndio wanaosimama mbele ya wanawake na kusema wanaume tunawaunga mkono kwenye feminism. Kumbe ni wanaume makasha tu hakuna mwanaume hapo.
 
Uwe unaona aibu. Huyo ni mwanamke unabishana nae. Feminism inawahusu wao wewe mbona unatetea utadhani unalipwa?
Kwani amekuambia hawezi kujitetea? Ushahidi mwingine kuwa wewe ni narcissist na chauvinist. Aliyeandika hahitaji utetezi wako na ana uwezo kabisa wa kusimamia hoja yake kuliko wewe. Yeye sio door mat kama unavyotaka wanawake wawe.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…