Kuna mmoja simkumbuki ni nani ila alinifurahisha alivyosema "Bahili hapati mke"
arMiss you.......
Kuna mmoja simkumbuki ni nani ila alinifurahisha alivyosema "Bahili hapati mke"
Kadoda11 nashukuru kwa kuutambua mchango wangu !
Ni kweli una masters ya sheria? Sasa jeshini unategemea utafanya kazi gani? Samahani kwa kukuchomekezea swali.