Si angetafuta location nzuri ya kupiga picha.kaka hiyo location ya chumba inaogopesha wateja[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hilo geto kama la ZERO IQ hivi
"Anakageto chake" ndiyo nini!!???Yupo jamaa mmoja humu humu ndani anakageto chake kama hiki hiki.
Nina kila sababu kuipenda JF kwa kweli.