Fence ipi inafaa. Ya ukuta, yawavu au ya miti yenye miba?

Fence ipi inafaa. Ya ukuta, yawavu au ya miti yenye miba?

Fence ya Ukuta ndio mpango mzima,hizo za michongoma ni enzi za mwalimu!
 
miba ni kwa ajili ya mifugo vijijini, mjini weka uzio wa ukuta
Wavu kwa ajili ya kuzuilia kuku.
 
ukuta mkuu.....utaepuka mengi..........
 
"Good Walls make Good Neighbours........."
 
Inategemea na eneo ulilojenga. ila kwa afya yako na familia weka ya miti. kama unahofia usalama wako chimba handaki ama tafuta njia mbadala ya kujikinga. ukuta hausaidii kitu. proved!
 
Here are my observations:
Ukuta:
-unakinga hewa/upepo
-ukivamiwa jirani hawezi kujua nn kinaendelea wala hawawezi kukusaidia
-faida kubwa ni privacy na security to a certain degree thou there's no 100 percent security hahaha

Wavu:
-nzuri ila inakua haina privacy labda kuongezea miti

Miti:
Nzuri kwa afya

Nahitaji uzio ila niko njia panda
 
Ataepuka baadhi lakini bado kuna watu Watauruka tuu huo ukuta.

Heri ya warukao kuliko WASHIKISHWAO Ukuta huo! Akiruka walau anavuja: ashikishwaye ni laana hadi kwa tofali agusalo!
 
Heri ya warukao kuliko WASHIKISHWAO Ukuta huo! Akiruka walau anavuja: ashikishwaye ni laana hadi kwa tofali agusalo!
Aisee! kumbe nilidhani kuushika na kuuruka wote ni mule mule tuu.!!
 
Here are my observations:
Ukuta:
-unakinga hewa/upepo
-ukivamiwa jirani hawezi kujua nn kinaendelea wala hawawezi kukusaidia
-faida kubwa ni privacy na security to a certain degree thou there's no 100 percent security hahaha

Wavu:
-nzuri ila inakua haina privacy labda kuongezea miti

Miti:
Nzuri kwa afya

Nahitaji uzio ila niko njia panda

Hapo mdau ya ukuta huwa unanyanyuliwa kwa nyuma mpaka katikati ya nyumba alafu kwa mbele huku kwenye geti unapigwa ukuta nusu na kuwekewa grill na miti inapandwa kwa mpangilio maalumu unless kama eneo ulilonalo ni dogo kiasi kwamba UKIJENGA NYUMBA ukitoa mkono dirishani unagusa ukuta wa fence
 
Weka Ukuta na Juu Weka Umeme halafu Fuga Mbwa Wakali
 
Ataepuka baadhi lakini bado kuna watu Watauruka tuu huo ukuta.

Ni kweli mkuu, jirani yetu majuzi alishtuka usingizini mida ya saa saba usiku akawaona jamaa wako wanabebana ili waruke ukuta wake. Bahati yake alikuwa na "mguu wa kuku" akaanza kuwarushia risasi nao wakajibu kisha wakatokomea. Kama mfuko unaruhusu inabidi kuongeza na electric fence juu yake.
 
Panda michongoma mkuu watu wa hewa ukaa watakulipa mapesa. Ukuta ni kwa waarabu

Mkuu huo ukuta wake ni sawa na ekari ngapi? Maana si mchezo kufikia kiwango (carbon credits) cha kulipwa na hao watu wa hewa ya ukaa.
 
Fence ya michongoma ndio ya kisasa.
Michongoma inawekwa pamoja na wavu.
Hii ni Spanish style na pia ni nzuri kwa ulinzi, afya na mandhari.
orange-tree-in-garden.jpg
 
Back
Top Bottom