INAUZWA Fendior S300 smartwatch

khayraat

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
34
Reaction score
42
S 300 smartwatch
💶90000 tsh

⌚️Mikanda 7
⌚️Earpods
⌚️Protector
⌚️Unaweza kupiga n kupokea simu
⌚️Unaconnect kwa bluetooth
⌚️Inakuja complete n manual n charger
🏃🏽‍♀️Inafaa kwa mazoezi
📱unapokea notification zote
📍tunapatikana kariakoo msimbazi b
📱0655297947 callor watsup
 
Attachments

  • 33E63518-26FD-4EB8-B6F7-17482E1F5CFF.jpeg
    125.3 KB · Views: 6
  • 2D5C648B-D849-482D-A708-18BAB38009BB.jpeg
    105 KB · Views: 7
  • 57DA4325-DFC9-4816-B6DA-CE4D96F2AA8C.jpeg
    138.8 KB · Views: 7
Hivi vidude sijawahi kununua halafu vikae miaka miwili. Ndani ya 18 months, mara mkanda unakatika na unakuwa hauna replacement na mara nyingine mfumo wa ku-charge unazingua.
 
Hivi vidude sijawahi kununua halafu vikae miaka miwili. Ndani ya 18 months, mara mkanda unakatika na unakuwa hauna replacement na mara nyingine mfumo wa ku-charge unazingua.
How mikanda isiwe n replacement km hyo tu mikanda ya kubadili saba
 
Hivi vidude sijawahi kununua halafu vikae miaka miwili. Ndani ya 18 months, mara mkanda unakatika na unakuwa hauna replacement na mara nyingine mfumo wa ku-charge unazingua.
Mi mwenyew ninacho mkanda umekatika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…