Ndugu feng chui ni elimu ya kupangilia vitu ndani na nje ya nyumba, chumba chako ili kuvuta nguvu chanya (positive energy/ vibes) wao wana i refer kama chi. Ni kama elimu ya kufanya interior design.. ni elimu ambayo imezaliwa huko mashariki (china). Ukitaka kujifunza zaidi, unaweza kucheck video zake youtube, japo hazijaelezea kwa undani elimu hio.
Mm nlipata bahati ya kutumiwa kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya kiingereza, kidogo kinaelezea kwa undani.