Nenda kkoo bei yake ni 90 ila usiende bei pungufu ya hiyo na mi nakumbka walinkazia nliuziwa 87 nmezunguka narun'gombe yote bei hy hyo japokua nlonunua mm ni ile ya kupachika ukutani sio kama ile ya kukata kiuno ya juu ya selling board