profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wakuu naomba kuuliza kazi ya fan ndogo kwenye rejeta ya toyota noah,kazi yake nini na je inawaka pamoja na injini au inawaka baadae, kila ninapowasha gari yenyewe haizunguki, sijui tatizo nini?