profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
mbona nikiwasha ac pia haiwaki,au mpaka joto liongezeke mkuu?Kwa ajili ya Air Condition
Wakuu naomba kuuliza kazi ya fan ndogo kwenye rejeta ya toyota noah,kazi yake nini na je inawaka pamoja na injini au inawaka baadae,kila ninapowasha gari yenyewe haizunguki,sijui tatizo nini?
AC ukiwasha kwa kuzingusha tu, hapo unaweza usiipate AC, kama mtumiaji wa mwisho, aliibonyeza, alafu akazima kwa kuizingusha.mbona nikiwasha ac pia haiwaki,au mpaka joto liongezeke mkuu?
ntafanya kama ulivyosema,alafu ntaleta mrejesho..AC ukiwasha kwa kuzingusha tu, hapo unaweza usiipate AC, kama mtumiaji wa mwisho, aliibonyeza, alafu akazima kwa kuizingusha.
Hivyo ukisha izingusha bofya, kunakitaa kinawaka kuonyesha AC iko On.
utajuaje kama compressor imewaka?kwenye matundu unatoka upepo tu wa feni,ila ubaridi hamna.Inapaswa kuwaka, kama haiwaki basi ni mbovu...
Ila ngoja waje kukupa muongozo...
nimewasha ac,na kubonyeza kile kitufe cha ac na kikawaka taa,nikaweka automatic,ikawa full lakini bado ile fan ndogo haikuwaka,na gari sijatumia imekaa home,na fan ilikuwa nzima,cjajua fuse yake na sehemu inapotoa voltage yake...AC ukiwasha kwa kuzingusha tu, hapo unaweza usiipate AC, kama mtumiaji wa mwisho, aliibonyeza, alafu akazima kwa kuizingusha.
Hivyo ukisha izingusha bofya, kunakitaa kinawaka kuonyesha AC iko On.