INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

Moire

Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
19
Reaction score
7
Nauza Metal feni iliyotumika muda mfupi, infaa kwa matumizi ya kumbi za mpira, baa, club, kanisani na sehemu kama hizo. Bei ni 120,000. Tsh. Ni inbox nikuuzie.
IMG_20171231_124836.jpg
 
Haifai kwa matumizi ya nyumbani?
 
Aliyenitumia SMS anahitajii hii feni, tuwasikiane maana SMS uliyinitumia nimeifuta bahati mbaya, nimeshindwa kukutafuta.
 
Back
Top Bottom