Nenda maduka yanayouza spare za tv, na redio fen hizo zipo unapata kwa 12 hadi 15 inategemea na ni voltn ngapiHello habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa anaefahamu wapi hapa dar naweza pata CPU cooler ya kawaida tu naomba anipe mwongozo.
Socket Ya CPU LGA 1155
NAWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka ya intel stock cooler au, kuna cooler master moja ipo hapaHello habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa anaefahamu wapi hapa dar naweza pata CPU cooler ya kawaida tu naomba anipe mwongozo.
Socket Ya CPU LGA 1155
NAWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo lazima iwe stock cooler mkuuuunataka ya intel stock cooler au, kuna cooler master moja ipo hapa
unfortunately nipo dom na soon nampango wa kwenda dar sijui itakuaje hapoNina Cooler Master Evo 212, but nipo Arusha mkuu. Nilikua naitumia kwenye Rig yangu nikaupgrade kwenda NZXT Kraken X52. Kama vipi tuwasiliane