mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Aug 25, 2024 #21 jitwangabalogi said: Nisiwachoshe wakuu nipo dsm, Kwa kazi zView attachment 3077021a kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote... Click to expand... Hizi mbona bado ni nzma, mimi nataka zilizo oza na kuharibika nitumie kama kuni
jitwangabalogi said: Nisiwachoshe wakuu nipo dsm, Kwa kazi zView attachment 3077021a kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote... Click to expand... Hizi mbona bado ni nzma, mimi nataka zilizo oza na kuharibika nitumie kama kuni
jitwangabalogi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2018 Posts 476 Reaction score 636 Aug 25, 2024 Thread starter #22 mbongo_halisi said: Hizi mbona bado ni nzma, mimi nataka zilizo oza na kuharibika nitumie kama kuni Click to expand... Karibu Sana mkuu...
mbongo_halisi said: Hizi mbona bado ni nzma, mimi nataka zilizo oza na kuharibika nitumie kama kuni Click to expand... Karibu Sana mkuu...
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Aug 25, 2024 #23 jitwangabalogi said: kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote... Click to expand... Kazi nzuri ila jitahidi kupata mbao zilizokaa stoo kwa mwaka mzima au angalau miezi 6 bila unyevu
jitwangabalogi said: kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote... Click to expand... Kazi nzuri ila jitahidi kupata mbao zilizokaa stoo kwa mwaka mzima au angalau miezi 6 bila unyevu
jitwangabalogi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2018 Posts 476 Reaction score 636 Aug 25, 2024 Thread starter #24 Faana said: Kazi nzuri ila jitahidi kupata mbao zilizokaa stoo kwa mwaka mzima au angalau miezi 6 bila unyevu Click to expand... Asante mkuu hili najitahidi sana, lakini si unajua changamoto ya mbao ilivyo Kwa hapa Dar...
Faana said: Kazi nzuri ila jitahidi kupata mbao zilizokaa stoo kwa mwaka mzima au angalau miezi 6 bila unyevu Click to expand... Asante mkuu hili najitahidi sana, lakini si unajua changamoto ya mbao ilivyo Kwa hapa Dar...