Sio SIFA, atachanika msamba akose watoto. Vitu vingine ni vya kukuhatarisha sana kwa ajili tu ya kupata kibati walichokipaka rangi ya dhahabuHuyu kijana wa miraba minne aiseeh anatingisha dunia sasa hivi. Baada ya kuwa Mkenya wa kwanza kufika semi-finals za 100 metres huko Tokyo olympics, sasa amekimbia mita mia moja chini ya sekunde kumi. Awa mtu wa kwanza Africa Mashariki na kati kufanya hivyo.
Hata Afrika Kaskazini ya Waarabu Tunisia, Egypt, Morocco hawajawahi kutoa mwanariadha aliyekimbia 100m chini ya sekunde kumi. Mashindano yalifanyika nchini Austria na alikimbia 9.96 seconds katika mbio za kwanza, halafu akakimbia 9.86 seconds katika fainali.
Watu wanachomoka na kitita cha hela $50,000 kwa sekunde tisa, wengine kwa muda wa masaa mawili na dakika chache tu. Tena hata hilo bati la Olimipiki unalolizungumzia linaandamana na mengine mengi sio sifa tu. Wathamini wanalipa hela nyingi za ziada moja kwa moja kwa wanariadha.Sio SIFA, atachanika msamba akose watoto. Vitu vingine ni vya kukuhatarisha sana kwa ajili tu ya kupata kibati walichokipaka rangi ya dhahabu