Mkuu MMJ,
1. Huyu Ruhinda, originally alikuwa foreign na Mkapa, walikuwa marafikia wakubwa sana, lakini huyu mkulu hakuwa rafiki wa kweli ni opportunist,
2. Huyu hawezi fika nyumbani kwa Mkapa, maana mama hamtaki kabisa, kwani anajua kuwa ni kwa huyu mkulu ndiko alikuwa akikutania na yule hawara mama Rweyemamu,
3. Huyu ndiye aliyetumika na mtandao kumshinikiza mkulu kumpitisha mgombe wao, ndiye aliyepewa lile "Faili" na ule mgawo,
4. Miaka miwili kabla ya uchaguzi Rostam, alimvuta kule kule Vodacom, kama director wa bodi mshara wa shillingi millioni tatu kwa mwezi, ambako pia alikuwepo na Msekwa,
5. So smart opportunist, kwamba ndiye aliyekuwa pia PR manager wakati kampeni ya muungwana, licha ya kuwa pia ya Mkapa, na ni huyu ndiye aliyemtosa Ulimwengu kutoka kwenye kampeni ya pili ya Mkapa,
6. Sasa hivi hayumo tena ndani, lakini kila masilahi ya mkapa yalipo anayo percent, hana shida tena, na ndiye hasa anayejua yote yaliyojiri behind the scene, kwenye Mkapa na uchaguzi wa rais wa 2005, maana Kigoda was the intended name, lakini ni huyu Ruhinda ndiye aliyekuja kubadili mambo, wiki tatu kabla ya kwenda Dodoma,
7. Na mpaka leo ndiye the mastermind behind all the spin za mtandao na muungwana, Yes I said it hata Salva lazima aripoti kwa huyu kwanza, kabla ya kusema lolote serious!
Ahsante Wakuu.